
Mwl. Onesmo
Karibu Mbingu Duniani, podcast inayolenga kukuza ukuaji wa kiroho, hekima ya Kiungu, na kukutana na Mungu kwa njia inayobadilisha maisha. Kila kipindi kinaleta mafundisho yenye nguvu, maombi ya dhati, na maarifa ya prophetic ili kuimarisha imani yako na kuongeza uelewa wako wa...
Latest sermon
Siri za Kupenya - Siri ya 7 : Utoaji
Oct 27, 2026 · 1h 14m
Utoaji kama Siri ya Saba ya Kupenya Katika somo hili, Mwalimu Onesmo anafunua siri ya saba na ya msingi katika kufanikiwa mwaka Huu ni Utoaji. Utoaji unaelezwa kama ufunguo mama wa mipenyo na njia kuu...
More sermons

Siri za Kupenya - Siri ya 6: Neema
Oct 11, 2026 · 23m
Siri ya Sita: Neema (Grace)Katika mwendelezo wa siri za kupenya mwaka 2026, Mwalimu Onesmo anafundisha kuhusu Neema kama ufunguo mkuu wa mafanikio. Neema si tu wema wa Mungu, bali ni uwezesho wa...

Siri za Kupenya - Siri ya 5: Aina ya Marafiki
Sep 13, 2026 · 42m
Aina ya MarafikiKatika episode hii, tunachambua siri ya tano ya kufanikiwa na kupenya, ambayo ni umuhimu wa kuchagua aina ya marafiki unaoambatana nao. Urafiki si suala la kawaida tu; ni lango la...

Siri za Kupenya - Siri ya 4: uhusiano wako na Familia Yako
Sep 13, 2026 · 39m
Uhusiano wako na Familia YakoKatika kipindi hiki, tunajifunza siri muhimu ya ustawi ambayo mara nyingi hupuuzwa: uhusiano wako na familia yako. Kila mtu amewekwa na Mungu ndani ya familia kama...

Siri za Kupenya - Siri ya 3: Kuhani sahihi - Part 2
Sep 13, 2026 · 51m
Umuhimu wa Ukuhani katika Majira ya UteleKatika kipindi hiki, tunajifunza kuhusu umuhimu wa kuwa na kuhani wa kiroho ambaye anakuongoza, kukulisha, na kukusaidia kufanikiwa katika mwaka huu wa utele...

Siri za Kupenya - Siri ya 3: Kuhani sahihi - Part 1
Sep 13, 2026 · 38m
Siri ya KupenyaKatika kipindi hiki, tunajifunza kuhusu umuhimu wa Kuhani kama njia kuu ya mafanikio na mipenyo ya kiroho katika mwaka 2026. Mwalimu Onesmo anafundisha kuwa mafanikio makubwa ya...

Siri za Kupenya - Siri Ya 2: Madhabahu
Sep 13, 2026 · 47m
Maisha ya ushindi na mafanikio yamejengwa juu ya siri za ufalme. Kila mtu anayefanikiwa katika nyanja yoyote ana maarifa ya siri ambayo wengine hawana, na ndiyo inayompa nguvu ya kupenya.Madhabahu...

Siri za Kupenya - Siri ya 1: Mungu - Part 2
Sep 8, 2026 · 46m
Katika mafundisho haya, Mwalimu Onesmo anasisitiza kuwa siri kuu ya kupenya na kufanikiwa ni kumbinafsisha Mungu. Mafanikio ya kweli yanahitaji uhusiano wa karibu na Mungu, ambapo yeye anakuwa mtaji...

Siri za Kupenya - Siri ya 1: Mungu - Part 1
Sep 8, 2026 · 42m
Katika mafundisho haya, Mwalimu Onesmo anasisitiza kuwa siri kuu ya kupenya na kufanikiwa ni kumbinafsisha Mungu. Mafanikio ya kweli yanahitaji uhusiano wa karibu na Mungu, ambapo yeye anakuwa mtaji...

Siri za Kupenya - Utangulizi
Sep 8, 2026 · 50m
Katika kipindi hiki cha kwanza, Mwalimu Onesmo anafundisha kuwa mwaka 2026 ni msimu wa utele wa kiungu. Mafanikio si bahati, bali ni matokeo ya kugundua na kutumia siri za ufalme kupitia Neno la...

DAY 7 - Siku 7 Za Utele Wa Kiungu ( Supernatural abundance fasting & prayer )
May 19, 2026 · 2h 30m
Siku saba za Mfungo, Neno na Maombi ili kuachilia utele wa Kiungu katika Maisha yetuZab 23: 1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

DAY 6 - Siku 7 Za Utele Wa Kiungu ( Supernatural abundance fasting & prayer )
May 19, 2026 · 2h 5m
Siku saba za Mfungo, Neno na Maombi ili kuachilia utele wa Kiungu katika Maisha yetuZab 23: 1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

DAY 5 - Siku 7 Za Utele Wa Kiungu ( Supernatural abundance fasting & prayer )
May 19, 2026 · 1h 34m
Siku saba za Mfungo, Neno na Maombi ili kuachilia utele wa Kiungu katika Maisha yetuZab 23: 1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

DAY 4 - Siku 7 Za Utele Wa Kiungu ( Supernatural abundance fasting & prayer )
May 19, 2026 · 1h 7m
Siku saba za Mfungo, Neno na Maombi ili kuachilia utele wa Kiungu katika Maisha yetuZab 23: 1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

DAY 3 - Siku 7 Za Utele Wa Kiungu ( Supernatural abundance fasting & prayer )
May 19, 2026 · 1h 27m
Siku saba za Mfungo, Neno na Maombi ili kuachilia utele wa Kiungu katika Maisha yetuZab 23: 1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

DAY 2 - Siku 7 Za Utele Wa Kiungu ( Supernatural abundance fasting & prayer )
May 10, 2026 · 1h 21m
Siku saba za Mfungo, Neno na Maombi ili kuachilia utele wa Kiungu katika Maisha yetuZab 23: 1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

DAY 1 - Siku 7 Za Utele Wa Kiungu ( Supernatural abundance fasting & prayer )
May 10, 2026 · 54m
Siku saba za Mfungo, Neno na Maombi ili kuachilia utele wa Kiungu katika Maisha yetuZab 23: 1 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

Mbingu Duniani
May 6, 2026 · 0m
Karibu kwenye Madhabau ya Neno na Maombi. Maisha yako yakafanyike Mbingu hapa hapa Duniani.Mathayo 6:10 - Ufalme wako uje. Mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.
Is this your podcast?
Claim Mwl. Onesmo for free to edit this page and see how your sermons are doing in the Getsermons app. If you ever change podcast hosts, your followers and history here move with you.
Take these sermons with you.
Follow Mwl. Onesmo in the Getsermons app to get every new sermon, build playlists, and pick up right where you left off.