Getsermons

Mwl. Onesmo

Mbingu Duniani

May 6, 2026 · 0m

Download

Prefer sermons downloaded automatically?

About this sermon

Karibu kwenye Madhabau ya Neno na Maombi. Maisha yako yakafanyike Mbingu hapa hapa Duniani.

Mathayo 6:10 - Ufalme wako uje. Mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.

More from Mwl. Onesmo

  • Siri za Kupenya - Siri ya 7 : Utoaji

    Oct 27, 2026 · 1h 14m

    Utoaji kama Siri ya Saba ya Kupenya Katika somo hili, Mwalimu Onesmo anafunua siri ya saba na ya msingi katika kufanikiwa mwaka Huu ni Utoaji. Utoaji unaelezwa kama ufunguo mama wa mipenyo na njia kuu...

  • Siri za Kupenya - Siri ya 6: Neema

    Oct 11, 2026 · 23m

    Siri ya Sita: Neema (Grace)Katika mwendelezo wa siri za kupenya mwaka 2026, Mwalimu Onesmo anafundisha kuhusu Neema kama ufunguo mkuu wa mafanikio. Neema si tu wema wa Mungu, bali ni uwezesho wa...

  • Siri za Kupenya - Siri ya 5: Aina ya Marafiki

    Sep 13, 2026 · 42m

    Aina ya MarafikiKatika episode hii, tunachambua siri ya tano ya kufanikiwa na kupenya, ambayo ni umuhimu wa kuchagua aina ya marafiki unaoambatana nao. Urafiki si suala la kawaida tu; ni lango la...

  • Siri za Kupenya - Siri ya 4: uhusiano wako na Familia Yako

    Sep 13, 2026 · 39m

    Uhusiano wako na Familia YakoKatika kipindi hiki, tunajifunza siri muhimu ya ustawi ambayo mara nyingi hupuuzwa: uhusiano wako na familia yako. Kila mtu amewekwa na Mungu ndani ya familia kama...

  • Siri za Kupenya - Siri ya 3: Kuhani sahihi - Part 2

    Sep 13, 2026 · 51m

    Umuhimu wa Ukuhani katika Majira ya UteleKatika kipindi hiki, tunajifunza kuhusu umuhimu wa kuwa na kuhani wa kiroho ambaye anakuongoza, kukulisha, na kukusaidia kufanikiwa katika mwaka huu wa utele...

  • Siri za Kupenya - Siri ya 3: Kuhani sahihi - Part 1

    Sep 13, 2026 · 38m

    Siri ya KupenyaKatika kipindi hiki, tunajifunza kuhusu umuhimu wa Kuhani kama njia kuu ya mafanikio na mipenyo ya kiroho katika mwaka 2026. Mwalimu Onesmo anafundisha kuwa mafanikio makubwa ya...

Take these sermons with you.

Follow Mwl. Onesmo in the Getsermons app to get every new sermon, build playlists, and pick up right where you left off.

Download on the App StoreGet it on Google Play

Join our newsletter

We will deliver product news and updates straight to your email like that Raven delivered food to Elijah. Subscribe 👇

Getsermons

Getsermons provides a seamless way to discover sermons by preachers, churches and topics.

Download on the App Store
Get it on Google Play

Connect with us

© 2026 Getsermons App LTD. All rights reserved.